Teja -

Teja -

  • Шығарылған жылы: 2017
  • Тіл: суахили
  • Ұзақтығы: 3:06

Төменде әннің мәтіні берілген Teja , суретші - аудармасымен

Ән мәтіні Teja "

Аудармасы бар түпнұсқа мәтін

Teja

Hhhmmm

Nikutume wapi sasa njiwa

Uende unitafutie kipenda roho

Hhhmmm

Yuuh wapi kama unanisikia

Fanya unisaidie usichikoe ohhh

Tumia wako ujasiri na machachali

Chumvi sukari niwekeeeee

Nenda na ufike mbali

Ukipata hodari usisubiri nilete

Ila sitaki kunguru mimi ehhh

Akaiba ndani

Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa

Asiyojua penzi nini (eeeh)

Wala shukurani (eeeh)

Chochote anakula hata kile kinachonuka

Akanifanya nikawaaaa

Teja wa mapenzi

Nikawa mimi

Teja wa mapenzi

Akili ikasinizia ehh

Teja wa mapenzi

Ohhh masikini

Teja wa mapenzi

Moyoni ntaumia ehhh

Mama alisema penzi sherehe

Si mabomu ya machozi kutwa kulizana

Na ujana ukiendekeza starehe

Yule mwenye jema penzi utamuona hana maana

Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga

Tuishi kama vitani kushikiana mapanga

Mapenzi kamari uyapati kwa waganga

Nishapiga sana tunguri nikaishia kutanga tanga

Ndo maaana

Sitaki kunguru mimi ehhh

Akaiba ndani

Kutwa kuzulula mitaaani kula mifupa

Asiyojua penzi nini (eeeh)

Wala shukurani (eeeh)

Chochote anakula hata kile kinachonuka

Akanifanya nikawa

Teja wa mapenzi

Nikiwa mimi

Teja wa mapenzi

Akili ikasinizia ehh

Teja wa mapenzi

Ohhh masikini

Teja wa mapenzi

Moyoni ntaumia ehhh

Na moyo akautia pancha

Pancha pancha ehhhh panchaa

Akautoboa

Pancha pancha ehhhh panchaa

Kila kona ukaweka viraka

Pancha pancha ehhhh panchaa

Eeeh onananalilaaaa

Pancha pancha ehhhh panchaa

Badala ya nazi nikapewa kidaka

Pancha (Ahhhhahah) pancha ehhhh panchaa

Ahhhhahah

Pancha pancha ehhhh panchaa

Wasafiiiiii

Сайттағы жаңа мәтіндер мен аудармалар:

2 миллионнан астам ән мәтіні

Әртүрлі тілдегі әндер

Аудармалар

Барлық тілдерге жоғары сапалы аудармалар

Жылдам іздеу

Қажетті мәтіндерді секундтарда табыңыз